Namna ya kupata watazamaji wengi kwenye blog yako bila kulipia shilingi yeyote

Namna ya kupata watazamaji wengi  kwenye blog yako bila kulipia shilingi yeyote.
Kutengezeza blog ni  kazi rahisi sana ila kazi ipo kupata watazamaji. Wote tunajua bila watazamaji hakuna maana ya kutengeneza blog. Unapoteneza blog unatakiwa ujue mbinu utakazotumia kupata watazamaji.
Zifuatazo ni njia au mbinu zitakazokusaidia kupata watazamaji wengi kwenye blog yako tena bila kulipa chochote.
1.      Guest blogging hiki ni kitendo cha kuchangia mada mbalimbali kwenye mitandao ya wenzio halafu unaacha link yako kwenye maandishi yako. Unaweza weka link kwenye neon au sentensi nzima ili msomaji akisoma atavutiwa kubonyeza link uliyoweka. Angalia mfano kwenye ayah ii neon mbalimbali lina link ndani yake kwahiyo ukiclick to utapelekwa kwenye mtandao wa mwandishi wa mada hii. Angalizo usiache link nyingi sana hasa ukiandika mfano www.chatguest.com link kama hii watu wengi wenye mitandao hawapendi kwani inajionesha dhahiri lengo ni kuitangaza blog yako. Tumia mbinu ya hyperlink kwenye mfano wa neno mbalimbali
2.     Comments: wengi tunajua maana ya comment hii ni njia ya kuacha mtazamo wako kwenye blog post yeyote mfano baada ya kusoma makala hii unaweza amua kuacha comment yako jinsi ulivyochukulia au kuielewa mada hii kwahiyo ukisha andika maoni yako unajisajiri kwenye sehemu ya jina yani NAME na sehemu ya Url unaweka link ya blog yako na mwisho unasubmit.
3.   Traffic  exchanges: hizi ni njia za kupata watazamaji wengi kutoka sahemu mbalimbali utakachofanya ni kujisajiri na kuanza kubonyeza matangazo kadili unavyobonyeza matangazo mengi kwenye traffic exchange husika ndivyo utakavyoletewa watazamaji wengi zaidi huduma hii ni bure japo unaweza amua kujiunga kwenye pro services  ambazo hutatumia muda mwingi kutazama matangazo ya watu na bado utaletewa watazamaji wengi tu. Onyo usitumie njia hii ukiwa umeweka google adsense kwenye blog yako. Your Google adsense will be banned very soon. So don’t  use traffic exchanges as source of getting traffic but use other methods as google adsense policies requires you to do.
4.     Quality blog posts. Hii ni njia ya kujiweka kwenye ngazi ya juu kwenye search engines mfano google. Andika post  yenye tag zenye kuvutia na keywords zenye kuvuta watu wanaosearch vitu mbalimabali kwenye  mitandao. Mfano kama umetengeneza blog  ya ngono yani ina picha za ngono na video za ngono basi posts zako  zijae maneno kama mboo, chupi, kuma, kutombana, na mengineyo . Ashskum si matusi. Maneno kama hayo yawekwe kwenye mistari miwili ya kwanza nay a mwisho sehemu hizo ndizo zinasomwa sana na search engines kama google, bing, yahoo na nyinginezo. Hivyo utakuwa sehemu nzuri  kwenye search engines hatimaye mtu aki andika maneno kwenye search engine yeyote blog yako itaorodheshwa juu kabisa yani page ya kwanza.
5.      (Itaendelea) kuna njia nyingi za bure za kufanya blog yako itembelewe na watu wengi kwa siku bila kujitangaza. Njoo tena kusoma kuanzia  mbinu namba tano bila kujitangaza. Njoo tena kusoma kuanzia  mbinu namba tano

8 comments:

  1. nimeipenda hiyo sitatumia tena hii mbinu www.honestyqper.blogspot.com labda ungesaidia wengine wasiojua kutumia hyperlink

    ReplyDelete
  2. asante nimejifunza kiu mkuu
    www.chembayastori.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
  3. Duuu kuna maneno makali, unaweza kupata pia www.mwanamatukio.blogspot.com

    ReplyDelete
  4. Duuu kuna maneno makali, unaweza kupata pia www.mwanamatukio.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. Hakika nimejifunza kitu ndugu ambacho kitanisaidia sn hata kwenye blog yangi

    ReplyDelete
  6. Enter your comment...Hakika nimejifunza mengi sana

    ReplyDelete
  7. www.tujuzane.blogspot.com nimeipenda hii

    ReplyDelete